Tuesday, July 10, 2012

Cyrill kidogo agome kuvaa ‘matambala’ kwenye video




Mkacha Cyrill aka Kamikaze alilazimika kuweka mgomo wa zaidi ya saa tatu baada ya kuambiwa na director wa video ya wimbo wa Giga Flow kuvaa nguo chafu na zilizochakaa ili kuendana na maudhui ya wimbo huo.

Director huyo Hanscana la Cavela amepost picha tatu zilizochukuliwa wakati wa video shoot hiyo na kuziwekea maelezo kama ifuatavyo:

“Making the video.....ya Cyrill Kamikaze.....hapo kati jembe nikambebesha makopo bwana...daah alilalamika sana kuhusu hili swala coz ye CMB afu nambebesha makopo wapi na wapi Kamikaze jitu la ma Gucci.”
“Kipindi tunaendelea kushoot akatokea dada mmoja from nowhere, fan wa Cyrill Kamikaze, ikawa hivi:
DADA ; hee we kaka umerogwa mbona swagg hazipo Halla?
KAMIKAZE ; achana na hayo kwanza naomba number yako.


“Cyrill Kamikaze...Behind the scene, ilichukuwa time sana kumshawishi Kamikaze Kuvaa nguo hizi but at the end alivaa tu si ndo script inachonga hivo sasa " Msikilize alivyojibu baada ya sisi kumuuliza kwanini aligoma kwa muda.

No comments:

Post a Comment