
Usher Raymond baada ya mwaka juzi kuachia album yake ya mwisho
(26/march/2010) ajipanga kwa mara nyingine tena kuachia karibuni album
yake ya saba mwaka huu.Kwasasa msanii huyo yupo katika maandalizi hayo
na hivi karibuni hapa hapa teentz.com tutaendelea kukuhabarisha juu ya
album hiyo na tarehe hiyo…
No comments:
Post a Comment