Tuesday, July 10, 2012

WASANII WA KIGOMA WATOKA NA NU JOINT LINAITWA LEKA DUTIGITE




Wasanii takribani woote wanaowakilisha mkoa wa Kigoma leo hii wameachia wimbo wa pamoja unaoitwa LEKA DUTIGITE maana yake ni acha tijidai, imetengenezwa na Tuddi Thomas na ndani yake kuna Diamind, Mwasiti, Ommy dimpoz, Linex, Baba Levo, Recho, Peter Msechu, Banana, Makomando na wengineo

No comments:

Post a Comment