Tweets 11 za leo za Wema Sepetu zinazotia mashaka
Wema Sepetu si mtumiaji wa mara kwa mara wa mtandao
wa Twitter. Huingia mara chache ndani ya wiki japo siku akiingia hutumia muda
huo kuchat kidogo na washkaji na kuandika mambo yake mwenyewe.
Lakini leo tangu
tuanze kumfollow mrembo huyu, hatujawahi kuona akiandika tweets nyingi kiasi
hiki kama leo na tena zenye ujumbe wa msichana mwenye maumivu moyoni! What’s
wrong with her? What’s really going on? Hizi ni tweets kumi za Wema alizoziandika
leo na kutupa mashaka!
1. Luv comes 2 those who still hope although they've bin
disappointed, to those hu still bliv although they've bin betrayed, to those hu
stil need to love although they've bin hurt b4 and to those hu hav da courage
nd faith to build trust again...
2.Never say
goodbye if u still want to try, never give up if u still feel u can go on,
never say u don't love a person anymore if u can't let go...\
3.There ar things ud love to hear dat u wud never hear
from da person ud like to hear dem from, but don't be so deaf as not hear it
from da one hu says it from da heart...
4.Giving some1 all ur love is never an assurance dat
they love u baq, don't xpect love in return, jus wait for it to grow in their
heart, but if it doesn't, be content it grew in urz...
5.The best kind of friend is da kind u can jus be wit,
never say a word nd then walk away feeling like it was da best conversation u
have never had...
6.Wen the door of happiness closes, another opens but
often times we look so long at the closed door dat we cannot see da one dat has
bin opend for us..
7.A sad thing in life is wen u meet someone hu means a
lot to u, only to find out in da end dat it was never meant to be and u jus hav
to let go...
8.Love is wen u take away the feeling, the passion and
the romance in a relation nd find out u still care for dat person..
9.Mayb god wants us to meet a few wrong people b4
meeting da right one so dat wen we finally meet da right person we will knw how
to b grateful for dat gift..
10.It hurts 2 luv som1 nd nat b luvd in return, but wat
is more painful is 2 luv som1 nd never find da courage to let dat person knw
how u feel...
11.It is true dat u don't knw wat u got until u lose it
but its also truee dat u don't knw wat uve bin missin until it arrives...
Seriously!! what the hell is going on?
Hemed: Mabinti wa kibongo hawanivutii, nilishapita nao kama 32 hivi!
Tumekutana nayo hii kwenye blog ya mbunifu wa mavazi
anayekuja kwa kasi nchini Martin Kadinda. Anasifika sana kwa kuwavisha mastaa
wa Bongo zile suti za ‘marangirangi’ za single button, Hemed PHD akiwa mmoja wa ‘clients wake’.
So Martin alikuwa akipiga tu story na mteja wake na
akamuuliza kama huwa anatumia condom kuwachapa nao! ‘We jamaa maswali gani hayo
bana? mimi kondomu za nini? muda wote mimi nakwenda dry,” alijibu Hemed.
Kingine alisema kuwa jina lake la PHD limetokana na
status yake ya kutembea na mademu kibao tena maarufu.
“Unauliza kengele kanisani??? unadhani kwanini naitwa
Hemed PHD? nina taaluma ya kucheza na mioyo ya mabinti hawa wakibongo.... ila
tatizo hawanivutii huwa napita tu kwakuwa nina hamu na wakati huo au ninakuwa
sipo katika mahusiano na mtu yoyote,” alisema Hemed.
“Mpaka sasa nishawapitia 32... kwahiyo kuhusu majina
katafute mwenyewe huko mtaani mbona stori zipo,” aliongeza.
Kwa kauli hiyo nadhani tumepata kirefu cha PHD,nacho ni PLAYER, HEARTBREAKER AND DESTROYER.
The Music Postmortem: Ngwair Ft. Mirror – Maskini Wenzangu
Wiki
hii mwana Chamber Squad, Albert Mangwea ameachia ngoma yake mpya iitwayo
'Maskini Wenzangu' aliyomshirikisha Mirror. Producer wa ngoma hiyo ni
Manecky wa AM RECORDS. Ijumaa ya leo panel ya TMP inauchana chana wimbo
huo kuona mazuri na kasoro zake.
Josefly
Kama kawaida nitaegemea zaidi katika mashairi na utunzi
kwa ujumla pamoja na jinsi ujumbe ulivyofikishwa kwa hadhira.
Kwa ufupi, Ngwair amefaulu katika utunzi, mpangilio wa
matukio na mashairi. Idea kwa ujumla wake sio ngeni hasa ukizingatia kuwa kuna
wasanii wengi tu wameshaimba kuhusu hali mbaya ya maisha ya watanzania na kilio
kikubwa kikielekezwa kwa serikali.
Lakini ubunifu alioutumia katika kuyaandika mashairi ya
idea hii unaweza kuupa nafasi kubwa wimbo huu kueleweka vizuri na kuishinda ile
hofu ya kwamba idea hii imezoeleka. Kilichonifurahisha zaidi ni jinsi mtunzi
alivyojitahidi kutumia sanaa ya ubunifu karibu kwenye kila mstari ambao
ungeweza kuwa wa kawaida tu kama angeusema vile vile bila kutumia huu ubunifu.
Mfano, ‘..Ndo maana wazanzibar wamechoka kutanga na nyika” hapo ujumbe kuhusu
muungano..neno kutanga-na Nyika limetumiwa vizuri sana kuleta picha ya tatizo
la muungano,…na maneno “big up Mandela leo South sio Africa” utaona neno South
Africa lilivyotumika kusifia maendeleo ya South Africa.
Utunzi wa mtindo huu wa kucheza na maneno kama
nilivyosema hapo juu unafanya verse ya kwanza kuwa fupi sana kwa kusikiliza.
Pia mtunzi amefaulu kwa kiasi kikubwa kumfanya msikilizaji wa wimbo huu
kuendelea kusikiliza zaidi kwa jinsi alivyoweza kupangilia na kumaliza na kitu
kinachokuacha utafakari huku unasubiri ubeti wa pili… “leta mgomo baridi uijue
serikali then muulize ULIMBOKA umuhimu wa madaktari. Hapa wengi watatafakari
kwa sababu Ulimboka na swala la madaktari ni kitu ambacho kimeteka attention ya
wengi Tanzania.
Hata katika ubeti wa pili na wa tatu ameendelea kucheza
tu na maneno huku ujumbe ukiwa ni wa moja kwa moja (direct), mfano “tunaishi
kiMungu-Mungu, toa M uweke Z upate kiZunguZungu”.
Hapa msikilizaji pia atatafakari, na hapa atakua
ameshirikishwa kuutafakari wimbo.akitoa M kwenye neno kiMunguMungu na akaweka
Z.
Kila ubeti una maneno fUlani mazuri ya ubunifu tofauti
na beti nyingine.
Naweza kusema kuWa huu mtindo alioutumia katika utunzi ndio
umeweza kusaidia kwa kiasi kikubwa sana kufikisha ujumbe wa moja kwa moja na
unaweza kuuongezea muda wa kuishi katika masikio ya wasikilizaji, ukizingatia
matukio aliyoyaweka ambayo mengi ni ya hivi karibuni.
Tone aliyoitumia ni ya kulalamika ambayo inaendana
kabisa na idea ya wimbo, ‘Nalia na masikini wenzangu’. Mdundo(beat) ni mzuri
sana kwa jinsi ulivyofiti kwenye wimbo, kazi nzuri AM records.
Changamoto; kwenye ubeti wa tatu kuna maneno kama
wanafanya maongezi hivi., yale maneno yanavutia sana kuyasikiliza lakini neno
la kwanza halieleweki vizuri..anaongelea babu wa loliondo anasema “hivi babu wa
loliondo……kwa siasa, hayo maneno ya katikati yanachanganya,sijui nguli, nduli
au ni nini..Kumbe anasema "'hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu
ilikuwa ni siasa)!(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?"...
Ila kwa ujumla kazi ni nzuri ,kwa mtazamo wangu.
Kinye
Mwezi
huu baadhi ya wana hiphop wamegusa mambo muhimu sana yanayotugusa moja kwa moja
kwa namna tofauti…tazama Fid Q
alivyogusia issue nyeti ya mahusiano, Chidi Benzino naye akajivisha
ubaya ufanywao na kila mtu na kuuwasilisha kwa hadhira, Msafiri Kondo naye
akaamua kuianika nchi kwa namna yake ya kipekee tofauti kidooogo na Albert
Magwea aliyeamua kuchana waziwazi yanayojiri nchini kwa kuanika na kuhoji.
Binafsi nilimmiss Ngwair…siku zote nimekuwa nikimpenda
yeye wa namna hii…nikimaanisha yeye wa kuimba nyimbo zilizo serious sana “ni
kwasababu tu kuwa anaziweza sana”...kwa waliopata bahati ya kuisikiliza a.k.a
mimi watakuwa wanaungana name kuguswa na nyimbo kama sikiliza, zawadi, na a.k.a
mimi ukiicha pembeni Jah Kaya ambayo ilitugawa mashabiki wake “si sana”
“Masikini Wenzangu”…title nzuri ambayo inamshawishi kila
mmoja kutamani kusikia kilichoimbwa ndani. Hakika kila kilichoibwa ndani
kimenifanya nilibariki jina la wimbo huu na si kufanya ubatizo wa jina jipya.
Mwanzo wa wimbo “zile 8Barz” ulinipa ushawishi wa
kuendelea kuusikiliza wimbo huu japo sekunde ya 31 ilinikereketa sikioni baada
ya sauti ya Mirror kuingia ikiwa haiendani na Key ya beat ktk sekunde ile
ambayo mpishi aliibadilisha beat kwa namna yake aijuaye “mimi si mtaalamu”
lakini najua alifanya kitu kwenye beat.
“Mirror”…simjui huyu jamaa lakini anaonekana kama sio
mgeni kwenye mic. Ana sauti nzuri na kiukweli amepata melody nzuri kwa chorus
ya wimbo huu…shida yangu kwake kwenye uumbaji wa mdomo wakati wa kutamka
maneno…niseme tu kuwa mpaka wakati naandika hivi sijafanikiwa kusikia nini
anatamka kwenye maneno ya kwanza ya mzungunguko wa pili wa chorus “kabla ya
tunasuffer”
“Maneke”…producer bora wa mwaka kwa mujibu wa zile
tuzo…honestly speaking hii si production ya kusadifu title yako…hujafanya kitu
tusahau alivyosound Ngwair kwenye production za Bongo Records, KamaKawa, na
Tongwe!!! Japo hii ni miongoni mwa beat nzuri sana za Hiphop ulizowahi
kunyonga!
Kiujumla wimbo ni mzuri na kwa kiasi fulani utamfanya
Ngwair aendelee kuwa na heshima ya kuwa Nguli wa huu muziki wa Bongo.
J-Ryder
Ngoma ukiiskiliza first time, huwezi kataa ni nzuri..na
ujumbe unaeleweka freshii tu.
Ila tuingie ndani zaidi na tuone vitu vinavyoweza
kurekebishwa.
Upande wa instrument alizotumia, asilimia nyingi zina
interfere na frequency za vocals..hasa wa chorus...male vocals mara nyingi
frequencies zinakaa roughly between 200hz to 2500hz, so cutting some from the
brass would be good, also ina depend unataka emphasis iende upande upi..so kama
ziende kwa vocals, then u cut from brass na other instruments ambazo zina
require.
Pitch bend effect whIch is also called tape stop effect,
on 1st verse, inahitaji marekebisho pia. Timing/speed yake me naona haipo
sawa..unless thats the result they wanted.
Zile Rhodes (instrument) kama unavyoiskia throughout the
song, ina interfere na bass...pia inahitaji tu cut freqs on the rhodes..mfano
anything below 40hz can be cut, so to allow space for the bass...na pia bass
unaweza cut below 20hz ama 30 hz, because the human ear inasikia between 20hz
to 20khz...anything below or higher is usually unheard.
Pia kwa chorus, vocals zina ''sibilance'' (A sibilant
speech sound, such as English (s), (sh), (z), or (zh)....na hii sibilance ni
pale unaposikia herufi, ama neno kwenye vocals kama ''s'' ''ch'' ''sh'' ambazo
zinakuwa loud. Njia za kupunguza hii kitu, either kurekebisha pale vocals
zinapokuwa recorded, ama kutumia de-esser plugin, multiband compressor, volume
automation, zote hizi zinaweza saidia kupunguza ukali wa hii sibilance.
Sony Music presents: Troy Jamz with Kastenholt & Dee
The only
RnB king of Scandinavia TROY JAMZ with KASTENHOLT & DEE are releasing a brand new
hit single with SONY MUSIC. The song goes by the name of ''I'M IN LOVE''.
Troy Jamz is
an international RNB artist, usic/video producer and song writer. The same
guy who did the latest African HIT for an upcoming Tanzanian artists JanB and
Obi ''Pretty Girl''. Troy Jamz is CLASSIC and his RnB album will be out soon
this year. Listen I'M IN LOVE BELOW:
Chameleone aandamana kwenye ubalozi wa Tanzania Uganda kudai passport yake kwa Shigongo
Leo Jose Chameleone akiwa na mashabiki wake wanandamana
kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kudai arudishiwe passport yake inayoshikiliwa
na Erick Shigongo. Maandamano bado yanaendelea nje ya ubalozi huo jijini Kampala.
Jana kupitia facebook aliandika mkasa mzima uliopelekea passport
yake ishikiliwe. Huu hapa.
I AM VERY DISAPPOINTED!
Nilichukuliwa na kampuni ya GLOBAL PUBLISHERS, kampuni ya kitanzania
kutumbuiza kwenye uwanja wa taifa Jule 7, 2012.
Nilitumbuiza kama mkataba ulivyokuwa. Jumapili ya tarehe 8, ERIC
SHIGONGO ambaye ni mwenyekiti mtendaji wa GLOBAL PUBLISHERS aliichukua passport
yangu kwa kumtuhumu meneja wangu kuwa amemtapeli dola 3500 ambazo kiukweli
alitapeliwa na tapeli mmoja wa Kampala aitwaye George.
Nilisaidiwa na ubalozi wa Uganda mjini DAR EL SALAAM, ambao
ulinipa passport ya muda kurudi nyumbani.
Niliporudi Kampala nilimtafuta tapeli huyo, nilimkamata na
kumkabidhi kwa polisi ambao walimwachia katika makubaliano ambayo siyajui.
Nilieza haya kwa balozi wa Tanzania nchini Uganda kwa msaada
lakini alinitosa.
Ni show zijazo Afrika Kusini, Uingereza, Ubelgiji, Norway, Sweden,
Canada na kwingine. Hivyo ina maana Eric yupo juu ya sheria kukaa na passport
yangu pasipo uhalali?
Mimi niumie kwa uzembe wake wa kumwamini tapeli?
Ni haki raia wa Tanzania asiye na mamlaka kushikilia
passport yangu kwa zaidi ya mwezi? Nahitaji ushauri!
Aliendelea...
ERIC SHIGONGO AM BOUND TO MAKE YOU AN EAST AFRICAN CELEBRITY
GOR TAKING THE LAW THE WAY YOU WANT! WE ARE PLANNING EAST AFRICA UNION AND U
ARE PROMOTING YOUR SELFISH UNION! Damn
I AM AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN
DEMOSTRATION FOR THE CONFISCATION OF MY PASSPORT BY A TANZANIAN ILLEGALY ERIC
SHIGONGO I NEED MY FREEDOM TO TRAVEL AS A UGANDAN!
I NEED MY PASSPORT BACK ASAP!FOR GOD AND MY COUNTRY UGANDA.
Woken up! AM NOT GOING TO GO BACK TO MY HOUSE! AM GOING TO
SLEEP AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION UGANDA UNTIL MY BROTHER FROM TANZANIA
SURRENDERS BACK MY PASSPORT TO UGANDA GOVERNMENT THAT OWNS IT.HE IS HOLDING IT
ILLEGALLY- IF NO BODY IS THERE FOR MY RIGHT AND JUSTICE LET ME ASK FOR IT
MYSELF!
I AM DEMONSTRATING AGAINST INJUSTICE
AND WANT ERIC SHIGONGO TO RESPECT MY COUNTRY!
FOR GOD AND MY COUNRTY I DECLARE.
Godzilla auponda mfumo wa elimu Tanzania
Rapper mwenye swagga za 50 Cent, Godzilla ameukosoa
mfumo wa elimu uliopo nchini ambao anadai hautengenezi wataalam. Kupitia
mtandao wa Facebook, Godzilla ameandika:
Mfumo wa Elimu Tanzania inabidi ubadilishwe. Elimu ndefu
sana na haiko katika kutengeneza wataalam(Experts).
Mfano mtu kasoma hadi darasa la 7 akafeli na mtu
aliyesoma hadi Form6 akafeli wote wanakuwa sawa coz hawaajiliwi #so miaka yote
imepotea bure.
Zamani kulikuwa hadi na la 4 la mkoloni wazee wakifika la
4 wanamaliza sa hivi aje wazee?!
Fanyeni mfumo mzuri wa Elimu ili tuwe na wasomi wengi.
Mawazo mazuri Godzilla.
Ushahidi:Diamond si 'mpweke' tena!
Tunafahamu wametosana kwa mujibu wa magazeti ya udaku na sio muda mrefu. Lakini kwa picha hiyo hapo juu inaonekana kama kijana alikuwa mpweke kwa muda sasa. Hongera lakini kwa kubadilisha status. Upweke haujawi kuwa mzuri. Ain't no fun when you are lonely!
No comments:
Post a Comment