KATIKA KICHWA CHA DRAKE NAONA KAMA ALIWAZA NIKIFANIKIWA TU LAZIMA NIMILIKI BONGE MOJA LA NYUMBA.(MANSION), AMETUMIA DOLA MILIONI 7.7 NYUMBA IPO LOS ANGELES.
ikumbukwe pia drake ni moja kati ya wasanii ambao mgabo
ndege anamzimia kinomanoma yani
Ataweza kumualika rafiki yake Serena William agonge Tennis kidizaini kwenye nyumba yake huku wakila bata.
NDOA YA HEMEDI YAKWAMA KISA ELIMU NDOGO
NDOTO kufunga pingu za maisha
siku za karibuni alizokuwanazo nyota kutoka 'Bongo move' Hemed Suleiman
'PHD', zimeota mbawa kufuatia wazazi wa mlimbwende aliyetaka kumuoa
kuweka ngumu.
katika mahojino mawili matatu
Hemed amesema kuwa tayari alikuwa ameanza taratibu za kushughulikia ndoa
yake na mrembo huyo iliyopangwa kufungwa kimya kimya kwa kuogopa watu
wenye nia mbaya lakini amejikuta akilazimika kustisha harakati hizo
kufuatia wazazi wa binti huyo wakaweka ngumu kwa madai kuwa wanataka
mtoto wao amalize kwanza masomo yake na kupata 'mastaz' kwa kuwa elimu
ya Degree aliyonayo hivi sasa wanahisi bado haijamtosha.
"unajua mchumba wangu hivi sasa
ana elimu ya degree hivyo wazazi wamesema hawezi kuruhusujambo hilo
kwanza mpaka apate 'mastaz' halafu ndiyo mambo mengine yatafuata,
imeniuma sana kwa kuwa wenyewe tulishakubaliana na mwenzangu alikuwa
tayari kwa hilo" alisema Hemed.
katika hatua nyingine
Hemed amesema kuwa yuko katika hatua za mwisho kutoa muvi yake mpya
aliyoibatiza jina la Mererani ndani yake akiwa amemshirikisha swahiba
wake wa kitambo Yusuf Mlela sambamba na wakali wengine kibao wanaofanya
kweli na Bongo move
BEYONCE NA SOLANGE KNOWLES WAGOMBANA KISA URAFIKI NA KIM KARDASHIAN
The Keeping Up With The Kardashiansreality
star ameingia kaatika urafiki na Grammy award-winning singer baada ya
kuwa na uhusiano na rafiki wa karibu wa Beyonce, Kanye West. Beyoce na
Kim wameonekana pamoja katika 'Watch The Throne' tour ya Kanye na Jay-Z
na katika tuzo zilizopita hivi karibuni za BET, huku ikisemekana kuwa
Kim pia anazidi kujiweka karibu na mtoto wa Beyonce mwenye miezi sita
sasa, Blue Ivy.
licha
ya urafiki huo kuonekana kushamiri, mdogo wake Beyonce, Solange Knowels
hajafurahishwa kabisa na urafiki huo na kuamua kumuambia dada yake ya
moyoni
"kwa
maono ya Solange, Beyonce ni stand-out star, wakati Kim ni star wa
reality TV ambae amejiolea umaarufu baada ya kuvuja kwa video yake ya x
a.k.a pilau." kimeelezea chanzo
"kwahiyo Solange akmvutia waya B juu ya hilo ambapo B alimjibu kuwa anaweza kuwa rafiki na mtu yeyote anaemtaka yeye.
beyonce awe rafiki na yeyote anaetaka yeye , ama unadhani mdogo wake ana point hapo.??????
MTOTO WA KAMBO WA USHER RAYMOND KUTOLEWA KWENYE LIFE SUPPORT MASHINE MWANZONI WA MWEZO WA NANE
wiki moja baada ya mtoto wa kambo wa Usher Raymond Kyle Glover
kutangazwa kuwa ubongo wake umekufa baada ya ajali ya jet ski katika
ziwa Lanier Atlanta, inasemekana kuwa ex-wife wa Usher Tameka Foster
atalazimika kumtoa mtoto huyo mwenye miaka 11 kwenye life support
mashine mapema mwezi wa nane.
habari
zinasema kuwa kampuni ya insurance ya Tameka inategemea kutoa deadline
ya kuendelea kulipa billi kubwa kutoka katika hospitali hiyo na kuweka
wazi kuwa ni miezi kadhaa ijayo. mama wa mtoto Tameka amesema anaamini
miujiza itatokea na mtoto huyo atarudi tena duniani ....
No comments:
Post a Comment