CYRIL AWEKEZA KWENYE BIASHARA YA CLEARING & FORWADING
Baada ya kulaunch documentary ya maisha yake hivi karibuni pale maisha club, rapper kamikaze cyrill,
amejitafutia namna nyingine ya kuongeza kitita kwenye bank account yake
baada ya sasa kuwekeza kwenye biashara ya clearing & forwading
inayo deal na uingizaji na usafirishaji wa mizigo.
No comments:
Post a Comment