CHIDI BENZ: NEY NDIO NANI, ANAFANYA NINI MI SIMJUI, SIMJUUUIII NDIO NANI
jana
wakati akihojiwa mtu mzima Chidi Beenz kupitia kipindi cha xxl cha
Cloudsfm kilichokuwa kinaruka luve kupitia clouds Tv pia kuhusu diss
alizoshushiwa na msanii Ney wamitego kwenye wimbounaoitwa Nasema nao
alikua na haya ya kusema '' ndio nani huyo, anafanya nini, mi simjui
ameshawahi kufanya kazi gani ? na ameshawahi kufanya na nani?
mimi
nimefanya kazi na diamond, mzee yusuph, banza stone na wengine wenye
majina ye ni naniii, mi simjui anatukana matusi, ye anatukana katusi si
tunafanya matusi......''
baada ya hapo chidi akaachia joint mpya akiwa na mwana mama khadija kop
No comments:
Post a Comment