Thursday, June 7, 2012


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPt1JLDL2eaOGEhhKsayXXWkiuc8_Caz1et-zvSyOS9_rka6gi-0lAco_cJrPD39rKS2erhb0Q-kWAkoMQVWjPSB-6-x5uILUgxoeK21PKrrB9LpZ2F4Z-J5IihkoLD7PmpK1SUMoTqoQ/s640/france+Squad+euro+2012.png
Laurent Blanc anaichukua Ufaransa kwenda nayo kwenye Euro 2012 huku akiiongoza timu hiyo kutofungwa katika michezo 20, ambayo inahusisha ushindi dhidi ya Ujerumani, England na Brazil. Lakini kocha huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa bado haipi nafasi kubwa timu. Ufaransa haijashinda mechi yoyote ya mwisho ya michuano mikubwa yenyewe tangu mechi ya nusu fainali ya World Cup 2006 (haikushinda mechi yoyote kwenye Euro 2008 na WOZA 2010), huku wakishika nafasi ya 16, nafasi tisa nyuma ya wapinzani wao England wanaoshika nafasi ya saba kwenye ubora wa viwango wa FIFA.

Blanc bado na maumivu ya kichwa kuhusu upangaji wa kikosi hasa kwenye nafasi ya beki wa kushoto, ambapo Gael Clichy ameonyesha kiwango kizuri kwenye mchi dhidi ya Serbia siku chache baada ya Evra kucheza chini kiwango dhidi ya Iceland. Kiungo mkabaji Yann M'Vila pia ana majeruhi ya enka ambayo yatamfanya asicheze mchezo wa

1 comment: