SOUTH KING T.I.P KUTOKA NA COLLABO KALI NA MKALI ANDRE 3000, YOUNG JEEZY NA KANYE WEST.
Mwezi
Septemba tarehe 4 ndo mwezi amabao album ya mkali wa ngoma “ Live Your
Life” ft. Mwanadada Riri Rihanna mwezi huo itakuwa ikitoka album yake
ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Hip Hop duniani
inayoitwa “Trouble Man” ambayo ni album yake ya nane. Akipiga stories na
Shade45’s DJ Whoo Kid, T.I kabla alisema kuna ngoma ambayo amefanya na
wakali wawili wakali katika game Andre 3000 na Kanye West. Akaongeza
kabla haijaisha kuna wasanii wengine wakubwa ambao anategemea
kuwashirikisha ni pamoja na Katy Perry, Bruno Mars na Santigold atafanya
mpango awe ameshafanya nao mpaka ikikaribia tarehe ya kuachia album ya
“Trouble Man” awe ameshamalizakugonga nao kazi.
FAT JOE AFUNGUKA KUHUSU COLLABLE YAKE NA KANYE WEST NA KUMCHANA KIAINA
kkiongozi
wa Terror Squad Fat joe amefunguka kuhusu collable yake mpya na Kanye
west " prid N joy" katika tofauti waliokuwa nayo katika upande wa
ubunifu wakati wa kuikamilisha
wakatu akimuaminia upande wa muziki na hata kumuita gineus bado anaamini ngoma hiyo kuna vitu bado inakosa
kuna vijisehem vingine vikali kwenye ngoma hatujaviweka, lakini unajua ni kanye west, gineus ni mkali, nilibishana nae kiasi lakini nilimuacha yeye afanye anavyoona iko poa. haiwezekani duniani hapa ukampa mtu hii beat aimbe ,sisi sio waimbaji na akasema hii ni ngoma kali, tuko off beat, sisi sio RnB, tunaiimbia offbeat.niheshima kwangu kufanya kazi na Kanye ila sprise ipo kwa Mos Def,,,"amesema Fat Joe

No comments:
Post a Comment